فَكَذَّبُوهُمَا فَكَانُوا۟ مِنَ ٱلْمُهْلَكِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wakawakadhibisha, na wakawa miongoni mwa walioangamizwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakawakanusha, na wakawa miongoni mwa walio angamizwa.