caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:43

مَا تَسْبِقُ مِنْ أُمَّةٍ أَجَلَهَا وَمَا يَسْتَـْٔخِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHapana umma uwezao kutanguliza muda wake wala kuuchelewesha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHapana umma uwezao kutanguliza ajali yake wala kuikawiza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70