قَالَ عَمَّا قَلِيلٍ لَّيُصْبِحُنَّ نَٰدِمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation Center(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta.