caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:34

وَلَئِنْ أَطَعْتُم بَشَرًا مِّثْلَكُمْ إِنَّكُمْ إِذًا لَّخَٰسِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, nyinyi mkimtii mtu kama nyinyi, basi hakika mtakuwa hasarani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70