caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:30

إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَٰتٍ وَإِن كُنَّا لَمُبْتَلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika katika hayo zipo ishara. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwajaribu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika katika hayo yapo mazingatio. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwafanyia mtihani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70