caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:29

وَقُل رَّبِّ أَنزِلْنِى مُنزَلًا مُّبَارَكًا وَأَنتَ خَيْرُ ٱلْمُنزِلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa sema: Mola wangu Mlezi! Niteremshe mteremsho wenye baraka, na Wewe ndiye Mbora wa wateremshaji."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sema: Mola wangu Mlezi! Niteremshe mteremsho wenye baraka, na Wewe ni Mbora wa wateremshaji.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70