ٱللَّهُ يَحْكُمُ بَيْنَكُمْ يَوْمَ ٱلْقِيَٰمَةِ فِيمَا كُنتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama katika hayo mnayohitilafiana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama katika hayo mnayo khitalifiana.