caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 68

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:68

وَإِن جَٰدَلُوكَ فَقُلِ ٱللَّهُ أَعْلَمُ بِمَا تَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakikujadili, basi sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi mnayoyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakikujadili basi sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi mnayo yatenda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70