caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 64

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:64

لَّهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِى ٱلْأَرْضِ وَإِنَّ ٱللَّهَ لَهُوَ ٱلْغَنِىُّ ٱلْحَمِيدُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi vyake vilivyomo mbinguni na vilivyo katika ardhi. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujitosha, Mwenye kusifiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNi vyake viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujitosha na Mwenye kusifiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70