caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 63

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:63

أَلَمْ تَرَ أَنَّ ٱللَّهَ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءً فَتُصْبِحُ ٱلْأَرْضُ مُخْضَرَّةً إِنَّ ٱللَّهَ لَطِيفٌ خَبِيرٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, huoni kwamba Mwenyezi Mungu huteremsha maji kutoka mbinguni, na mara ardhi inakuwa kijani kibichi? Hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole, Mwenye habari zote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu huteremsha maji kutoka mbinguni, na mara ardhi inakuwa chanikiwiti? Hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole na Mwenye kujua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70