caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 35

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:35

ٱلَّذِينَ إِذَا ذُكِرَ ٱللَّهُ وَجِلَتْ قُلُوبُهُمْ وَٱلصَّٰبِرِينَ عَلَىٰ مَآ أَصَابَهُمْ وَٱلْمُقِيمِى ٱلصَّلَوٰةِ وَمِمَّا رَزَقْنَٰهُمْ يُنفِقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale ambao, anapotajwa Mwenyezi Mungu, nyoyo zao hutetemeka, na wanavumilia kwa yanayowasibu, na wanashika Sala, na wanatoa katika tulivyowaruzuku.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao, anapo tajwa Mwenyezi Mungu nyoyo zao hutetemeka, na wanao vumilia kwa yanao wasibu, na wanao shika Swala, na wanatoa katika tulivyo waruzuku.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70