caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 29

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:29

ثُمَّ لْيَقْضُوا۟ تَفَثَهُمْ وَلْيُوفُوا۟ نُذُورَهُمْ وَلْيَطَّوَّفُوا۟ بِٱلْبَيْتِ ٱلْعَتِيقِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha wajisafishe taka zao, na watimize nadhiri zao, na waizunguke Nyumba ya Kale.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha wajisafishe taka zao, na waondoe nadhiri zao, na waizunguke Nyumba ya Kale.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70