وَهُدُوٓا۟ إِلَى ٱلطَّيِّبِ مِنَ ٱلْقَوْلِ وَهُدُوٓا۟ إِلَىٰ صِرَٰطِ ٱلْحَمِيدِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wataongozwa kwenye maneno mazuri, na wataongozwa kwenye njia ya Msifiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wataongozwa kwenye maneno mazuri, na wataongozwa kwenye Njia ya Msifiwa.