caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 99

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:99

لَوْ كَانَ هَٰٓؤُلَآءِ ءَالِهَةً مَّا وَرَدُوهَا وَكُلٌّ فِيهَا خَٰلِدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLau kuwa hawa ni miungu, wasingelingia humo. Na wote watadumu humo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLau kuwa hawa ni miungu, wasingeli ingia. Na wote watadumu humo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70