caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 100

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:100

لَهُمْ فِيهَا زَفِيرٌ وَهُمْ فِيهَا لَا يَسْمَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jinginelo).
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo).
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70