caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 75

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:75

وَأَدْخَلْنَٰهُ فِى رَحْمَتِنَآ إِنَّهُۥ مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukamuingiza katika rehema yetu. Hakika yeye ni miongoni mwa walio wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukamuingiza katika rehema yetu. Hakika yeye ni miongoni mwa watenda mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70