caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 67

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:67

أُفٍّ لَّكُمْ وَلِمَا تَعْبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ أَفَلَا تَعْقِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAibu yenu nyinyi na hivyo mnavyoviabudu badala ya Mwenyezi Mungu! Basi nyinyi hamtii akilini?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAibu yenu nyinyi na hivyo mnavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu! Basi nyinyi hamtii akilini?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70