مَآ ءَامَنَتْ قَبْلَهُم مِّن قَرْيَةٍ أَهْلَكْنَٰهَآ أَفَهُمْ يُؤْمِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawakuamini kabla yao watu wa mji wowote tuliouangamiza. Basi, je, hawa ndio wataamini?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa?