قَالُوٓا۟ أَجِئْتَنَا بِٱلْحَقِّ أَمْ أَنتَ مِنَ ٱللَّٰعِبِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Je, umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Je! Umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu?