قَالَ لَقَدْ كُنتُمْ أَنتُمْ وَءَابَآؤُكُمْ فِى ضَلَٰلٍ مُّبِينٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Bila ya shaka nyinyi na baba zenu mmekuwa katika upotovu ulio dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwanikasema: Bila ya shaka nyinyi na baba zenu mmekuwa katika upotofu ulio dhaahiri.