caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 37

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:37

خُلِقَ ٱلْإِنسَٰنُ مِنْ عَجَلٍ سَأُو۟رِيكُمْ ءَايَٰتِى فَلَا تَسْتَعْجِلُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwanadamu ameumbwa na haraka. Nitawaonyesha Ishara zangu. Basi msiniharakishe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70