caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 38

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:38

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70