caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:33

وَهُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ كُلٌّ فِى فَلَكٍ يَسْبَحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Yeye ndiye aliyeumba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70