caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 111

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:111

وَإِنْ أَدْرِى لَعَلَّهُۥ فِتْنَةٌ لَّكُمْ وَمَتَٰعٌ إِلَىٰ حِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala sijui pengine huu ni mtihani tu kwenu na starehe mpaka muda kidogo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala sijui pengine huu ni mtihani tu kwenu na starehe mpaka muda kidogo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70