إِنَّهُۥ يَعْلَمُ ٱلْجَهْرَ مِنَ ٱلْقَوْلِ وَيَعْلَمُ مَا تَكْتُمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Yeye anajua kauli ya dhahiri na anajua myafichayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Yeye anajua kauli ya dhaahiri na anajua myafichayo.