caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 78

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:78

فَأَتْبَعَهُمْ فِرْعَوْنُ بِجُنُودِهِۦ فَغَشِيَهُم مِّنَ ٱلْيَمِّ مَا غَشِيَهُمْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterFirauni akawafuata pamoja na majeshi yake. Basi kikawafudikiza humo baharini kilichowafudikiza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniFirauni akawafuata pamoja na majeshi yake. Basi kiliwafudikiza humo baharini kilicho wafudikiza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70