وَإِن تَجْهَرْ بِٱلْقَوْلِ فَإِنَّهُۥ يَعْلَمُ ٱلسِّرَّ وَأَخْفَى
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ukinyanyua sauti kwa kusema, basi hakika Yeye anajua siri na chini zaidi kuliko siri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ukinyanyua sauti kwa kusema basi hakika Yeye anajua siri na duni kuliko siri.