caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 62

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:62

فَتَنَٰزَعُوٓا۟ أَمْرَهُم بَيْنَهُمْ وَأَسَرُّوا۟ ٱلنَّجْوَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wakazozana wenyewe kwa wenyewe kuhusiana na jambo lao hilo, na wakanong'ona kwa siri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakazozana kwa shauri yao wenyewe kwa wenyewe, na wakanong'ona kwa siri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70