ٱلَّذِى جَعَلَ لَكُمُ ٱلْأَرْضَ مَهْدًا وَسَلَكَ لَكُمْ فِيهَا سُبُلًا وَأَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءً فَأَخْرَجْنَا بِهِۦٓ أَزْوَٰجًا مِّن نَّبَاتٍ شَتَّىٰ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbaye amewafanyia ardhi kuwa tandiko, na akawapitishia humo njia, na akawateremshia kutoka mbinguni maji. Na kwa hayo tukatoa namna mbalimbali za mimea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbaye amekufanyieni ardhi kuwa tandiko, na akakupishieni humo njia, na akakutemshieni kutoka mbinguni Maji, na kwahayo tukatoa namna mbali mbali zamimea.