caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 54

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:54

كُلُوا۟ وَٱرْعَوْا۟ أَنْعَٰمَكُمْ إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَٰتٍ لِّأُو۟لِى ٱلنُّهَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKuleni, na mchunge wanyama wenu. Hakika katika hayo zipo ishara kwa wenye akili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKuleni, na mchunge wanyama wenu. Hakika katika hayo zipo ishara kwa wenye akili.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70