caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 125

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:125

قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرْتَنِىٓ أَعْمَىٰ وَقَدْ كُنتُ بَصِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona vyema?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70