ثُمَّ ٱجْتَبَٰهُ رَبُّهُۥ فَتَابَ عَلَيْهِ وَهَدَىٰ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha Mola wake Mlezi akamteua, na akamkubalia toba yake, na akamwongoa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha Mola wake Mlezi akamteuwa, naye akamkubalia toba yake, naye akamwongoa.