وَلَقَدْ عَهِدْنَآ إِلَىٰٓ ءَادَمَ مِن قَبْلُ فَنَسِىَ وَلَمْ نَجِدْ لَهُۥ عَزْمًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hapo zamani tuliagana na Adam, lakini alisahau, wala hatukupata kwake azimio kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hapo zamani tuliagana na Adam, lakini alisahau, wala hatukuona kwake azma kubwa.