caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 107

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:107

لَّا تَرَىٰ فِيهَا عِوَجًا وَلَآ أَمْتًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHutaona humo mdidimio wowote wala muinuko.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHutaona humo mdidimio wala muinuko.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70