caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 105

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:105

وَيَسْـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلْجِبَالِ فَقُلْ يَنسِفُهَا رَبِّى نَسْفًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanakuuliza habari za milima. Waambie: Mola wangu Mlezi ataivurugavuruga.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanakuuliza khabari za milima. Waambie: Mola wangu Mlezi ataivuruga vuruga.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70