caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 53

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:53

وَإِذْ ءَاتَيْنَا مُوسَى ٱلْكِتَٰبَ وَٱلْفُرْقَانَ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tulipompa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70