caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 52

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:52

ثُمَّ عَفَوْنَا عَنكُم مِّنۢ بَعْدِ ذَٰلِكَ لَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tukakusameheni baada ya hayo, ili mpate kushukuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha tukakusameheni baada ya hayo, ili mpate kushukuru.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70