caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 42

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:42

وَلَا تَلْبِسُوا۟ ٱلْحَقَّ بِٱلْبَٰطِلِ وَتَكْتُمُوا۟ ٱلْحَقَّ وَأَنتُمْ تَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msichanganye haki na batili, na mkaificha haki nanyi mnajua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70