وَأَقِيمُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُوا۟ ٱلزَّكَوٰةَ وَٱرْكَعُوا۟ مَعَ ٱلرَّٰكِعِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanaoinama.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa shikeni Swala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama.