caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 242

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:242

كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ ٱللَّهُ لَكُمْ ءَايَٰتِهِۦ لَعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNamna hivi ndivyo anavyowabainishia Mwenyezi Mungu Aya zake ili mpate kufahamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNamna hivi anakubainishieni Mwenyezi Mungu Aya zake ili mpate kufahamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70