caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 241

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:241

وَلِلْمُطَلَّقَٰتِ مَتَٰعٌۢ بِٱلْمَعْرُوفِ حَقًّا عَلَى ٱلْمُتَّقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanawake waliotalikiwa wapewe cha kuwaliwaza kwa wema. Hii ni haki juu ya wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa Sharia. Haya ni waajibu kwa wachamngu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70