ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلْمُمْتَرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHaki inatoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe kabisa miongoni mwa wenye shaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHaki inatoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanao fanya shaka.