وَلِلَّهِ ٱلْمَشْرِقُ وَٱلْمَغْرِبُ فَأَيْنَمَا تُوَلُّوا۟ فَثَمَّ وَجْهُ ٱللَّهِ إِنَّ ٱللَّهَ وَٰسِعٌ عَلِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mashariki na magharibi ni za Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo, kokote mnakoelekea, huko upo uso wa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa, Mwenye kujua mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mashariki na magharibi ni za Mwenyezi Mungu. Basi kokote mnako elekea, huko Mwenyezi Mungu yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye wasaa na Mjuzi.