caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 116

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:116

وَقَالُوا۟ ٱتَّخَذَ ٱللَّهُ وَلَدًا سُبْحَٰنَهُۥ بَل لَّهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ كُلٌّ لَّهُۥ قَٰنِتُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ati wanasema: 'Mwenyezi Mungu ana mwana.' Subhanahu (ametakasika mbali na hayo!) Bali vyote vilivyomo mbinguni na duniani ni vyake. Vyote vinamdhalilikia Yeye kwa hofu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ati wanasema: Mwenyezi Mungu ana mwana. Subhanahu! Ametakasika na hayo. Bali vyote viliomo mbinguni na duniani ni vyake. Vyote vinamt'ii Yeye.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70