وَنَسُوقُ ٱلْمُجْرِمِينَ إِلَىٰ جَهَنَّمَ وِرْدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawaswaga wahalifu kwenda katika Jahannamu hali ya kuwa wana kiu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawachunga wakhalifu kuwapeleka Jahannamu hali ya kuwa wana kiu.