أَوَلَا يَذْكُرُ ٱلْإِنسَٰنُ أَنَّا خَلَقْنَٰهُ مِن قَبْلُ وَلَمْ يَكُ شَيْـًٔا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hakumbuki mwanadamu ya kwamba hakika tulimuumba kabla, na wala hakuwa chochote?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla, na hali hakuwa chochote?