تِلْكَ ٱلْجَنَّةُ ٱلَّتِى نُورِثُ مِنْ عِبَادِنَا مَن كَانَ تَقِيًّا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHiyo ndiyo Bustani tutakayowarithisha katika waja wetu wale waliokuwa wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHiyo ndiyo Pepo tutayo warithisha katika waja wetu walio kuwa wachamngu.