caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 56

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:56

وَٱذْكُرْ فِى ٱلْكِتَٰبِ إِدْرِيسَ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقًا نَّبِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mtaje katika Kitabu Idris. Hakika yeye alikuwa ni mkweli mno, Nabii.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mtaje katika Kitabu Idris. Hakika yeye alikuwa ni mkweli Nabii.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70