caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:50

وَوَهَبْنَا لَهُم مِّن رَّحْمَتِنَا وَجَعَلْنَا لَهُمْ لِسَانَ صِدْقٍ عَلِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawatunuku katika rehema zetu na tukawafanya kupewa sifa za kweli tukufu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli tukufu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70