caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:44

يَٰٓأَبَتِ لَا تَعْبُدِ ٱلشَّيْطَٰنَ إِنَّ ٱلشَّيْطَٰنَ كَانَ لِلرَّحْمَٰنِ عَصِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe baba yangu! Usimuabudu Shetani. Hakika Shetani ni mwenye kumuasi sana Mwingi wa rehema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe baba yangu! Usimuabudu Shet'ani. Hakika Shet'ani ni mwenye kumuasi Mwingi wa Rehema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70